Painia wa Kiafrika – maswala ya ulimwengu

Mikopo: Hadynya/iStock na Picha za Getty kupitia Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) Maoni na Lonkeng wa kila wakati (Porto-Novo, Benin) Jumanne, Februari 04, 2025 Huduma ya waandishi wa habari PORTO-NOVO, Benin, Feb 04 (IPS)-Benin alikabiliwa na spillovers hasi mnamo 2022: hali ya usalama wa mkoa katika mpaka wake wa kaskazini, makovu ya muda mrefu…

Read More

Watanzania 24 washikiliwa na Mamlaka ya uhamiaji Marekani

Dar es Salaam. Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umesema Serikali ina taarifa rasmi ya watu 24 wanaoaminika kuwa Watanzania wanaoshikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) kwa kuishi nchini humo kinyume cha sheria. “ICE imetuarifu kwamba, watu wanne kati ya hao wameshakamilisha taratibu zote za kimahakama za kuondoshwa nchini Marekani, hivyo watarejeshwa…

Read More

Ambao Mkuu anatuuliza tufikirie kujiondoa tena, usawa wa kijinsia unabaki lengo la mbali, wito wa kufikiria tena mabadiliko ya sheria ya pombe ya Nordic – maswala ya ulimwengu

Agizo kuu la Rais Trump la Januari 20 linasikitisha “na tunatumai Amerika itafikiria tena,” alisema WHO Mkurugenzi Mkuu Tedros Adhanom Ghebreyesus, katika hotuba kwa Bodi ya Utendaji ya shirika. Mkuu wa WHO alisema atakaribisha fursa hiyo “ya kuhifadhi na kuimarisha uhusiano wa kihistoria kati ya nani na Amerika.” Kusukuma nyuma kwenye hoja iliyowekwa katika agizo…

Read More

Aliyekuwa kocha Singida BS atangazwa kumrithi Ramovic Yanga

Muda mfupi baada ya kocha Sead Ramovic kubwaga manyanga, Yanga leo, Februari 4, 2025 imetangaza kumchukua kocha wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud kuziba pengo lililoachwa na Mjerumani huyo. Taarifa iliyotolewa na Yanga imesema kuwa Ramovic ameondoka sambamba na msaidizi wake Mustafa Kodro. “Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umefikia makubaliano ya pande mbili…

Read More

Kibu aivuruga Simba | Mwanaspoti

Simba bado haina uhakika wa kumtumia mshambuliaji wake Kibu Denis katika mechi inayofuata ya Ligi Kuu dhidi ya Fountain Gate, Alhamisi, Februari 6, 2025. Mshambuliaji huyo aliumia katika kipindi cha pili cha mchezo uliopita wa Simba dhidi ya Tabora United ambao timu yake iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi,…

Read More

Simulizi ya mume wa mstaafu aliyekufa ajalini

Arusha: Mume wa mwalimu mstaafu aliyefariki dunia kwenye ajali ya gari amesimulia jinsi mkewe, Apaikunda Ayo (61), alivyojipanga kutumia fedha za mafao kununua gari la familia. Simulizi hiyo imetolewa na mume wa marehemu, Exaud Mbise, wakati wa maziko yaliyofanyika leo, Jumanne, Februari 4, 2025, nyumbani kwa marehemu, Kijiji cha Imbaseni, wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha….

Read More

Mapito ya miaka 48 CCM yenye majaribu ya nyakati

Kuelezea Chama cha Mapinduzi (CCM), kilivyoweza kutimiza umri wa miaka 48, kikiwa madarakani, inavutia kukopa kifungu cha maneno ya Kiingereza “stand the test of time” – “kuvuka majaribu ya nyakati.” Hakika, bila ubishi, “CCM has stood the test of time” – “CCM imesimama imara kwenye mitihani yote ya nyakati.” Iwe kwa kuumiza wasio na hatia…

Read More

Iringa fursa za madini zipo njooni – Mhandisi Milandu

-Yakaribia 60% ya lengo ukusanyaji maduhuli kwa mwaka 2024/2025 -Yaita wawekezaji wakubwa kuwekeza Sekta ya Madini MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Iringa yatokanayo na mrahaba, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha 2024/2025 yamefikia shilingi milioni 698.05 ikiwa ni asilimia 58.2 ya lengo walilowekewa. Akizungumza katika mahojiano…

Read More