Habari WASSIRA ATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA MWL. JULIUS NYERERE BUTIAMA. February 4, 2025 Admin 12 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia amezungumza na wazee wa Butiama. Related Posts Habari Polisi yamshikilia kigogo wa Chadema, wenyewe wasema… July 12, 2025 Admin Habari DKT.MPANGO AAGIZA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI KUVITUNZA VIFAA TIBA KWENYE VITUO VYAO July 12, 2025 Admin