Serikali ya Haiti inakabiliwa na kukosoa kwa majibu yake kwa shambulio la genge huko Kenscoff – maswala ya ulimwengu

Jean-Victor Harvel Jean-Baptiste, Waziri wa Mambo ya nje na Ibada ya Haiti, anahutubia Baraza la Usalama juu ya hali ya sasa nchini Haiti. Mikopo: Picha ya UN/ Evan Schneider na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Jumatano, Februari 05, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Februari 05 (IPS)-Hali ya kibinadamu huko Haiti inaendelea…

Read More

Sio pesa tu, haya pia yalichangia Ramovic kusepa

LICHA ya kupeleka ombi la kuvunja mkataba ili aondoke klabuni kwa kilichoelezwa amepata ofa nono kutoka CR Belouizdad ya Algeria, lakini kuna mambo kadhaa nyuma ya pazia katika dili la kocha Sead Ramovic kusepa Yanga ikiwa ni siku 82 tangu alipojiunga nayo Novemba 15, mwaka jana. Ramovic aliyejiunga na Yanga kutoka TS Galaxy ya Afrika…

Read More

EARLY PAYOUT IMEKUJA KUKUPA KITITA PALE MERIDIANBET

CHAGUO jipya kutoka mabingwa wa kubashiri kampuni ya Meridianbet ambapo wateja wanaobashiri mpira wa miguu wana uwezo wa kujishindia mkwanja wa kutosha kupitia chaguo jipya la early payout. Meridianbet wamekuja na kitu iinaitwa early payout hii ikiwa na maana mshindi atahesabiwa pale tu timu ambayo ameiwekea ubashiri kuongoza kwa tofauti ya mabao mawili, Kwa mfano…

Read More

SAMIA: CCM ITALETA WAGOMBEA WANAOKUBALIKA

-Mwenyekiti wa CCM aahidi mchujo wa haki kwa wagombea 2025-Mawazo ya wananchi kuzingatiwa ili kuimarisha ushindi kwa chama Dodoma, tarehe 5 Februari 2025 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa CCM italeta wagombea wanaokubalika na wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, ili…

Read More

Prince Rahim ateuliwa Imamu wa 50 wa Ismailia

Dar es Salaam. Mwana Mfalme Rahim Al-Hussaini ameteuliwa kuwa Imam wa 50 wa madhehebu ya Ismailia kufuatia kifo cha baba yake Mtukufu Aga Khan IV, ambaye alifariki dunia jana, Jumanne Februari 4, 2025, jijini Lisbon, Ureno. Mwana Mfalme Rahim anayekuwa Imamu wa 50 wa madhehebu ya Shia Ismailia, ametangazwa kurithi nafasi hiyo, baada ya kufunguliwa…

Read More

Mwanafunzi adaiwa kuuawa na mpenzi wake, naye ajinyonga

Mwanza. Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) amefariki dunia baada ya kukabwa koo na mpenzi wake, Adamu Kailanga (30) kisha naye kujinyonga kwa mtandio kisa wivu wa mapenzi. Taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Wilbrod Mutafungwa iliyotolewa leo Jumatano Februari 5, 2025 imesema…

Read More