Kilosa kuvuna Sh1.17 bilioni biashara ya kaboni

Morogoro. Wilaya ya Kilosa inatarajia kuvuna mapato ya Sh1.17 bilioni kama gawio baada ya kuhifadhi misitu iliyowezasha uvunaji wa tani za ujazo 545,433 za hewa ya ukaa (kaboni) katika misitu ya vijiji vyake katika kipindi cha 2023 mpaka Februari 2024. Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa Wizara ya Muungano na Mazingira, Tanzania inalenga kuingiza dola za…

Read More

WFP, FAO kuonya juu ya ukali wa shida ya hali ya hewa na ukosefu wa chakula – maswala ya ulimwengu

Programu ya watoto wachanga na mchanga kulisha lishe katika mkoa wa Sidama wa Ethiopia, ambayo imeathiriwa sana na majanga ya hali ya hewa. Mikopo: UNICEF/Bethelhem Assefa na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Ijumaa, Februari 07, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Februari 07 (IPS) – Katika miaka michache iliyopita, mshtuko wa hali…

Read More

Wasira awaonya wavuvi Ziwa Victoria

Rorya. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wavuvi wa Ziwa Victoria kuchukua tahadhari kwa kutofika kwenye mipaka ya nchi jirani ili kuepusha mitafaruku na kuporwa zana zao za uvuvi. Wasira ametoa tahadhari hiyo leo Ijumaa Februari 7, 2025 wilayani Rorya baada ya kupata taarifa juu ya uwepo wa matukio…

Read More

Serikali yaagiza mapitio mfumo wa stakabadhi ghalani

Dodoma. Hatimaye Serikali imesikia kilio cha wafanyabiashara walioko katika Mfumo wa Stakabadhi za Ghala, kwa kuagiza kufanyika mapitio ya viwango na miongozo yote inayohusiana na biashara ya mazao kupitia mfumo huo. Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya Mwendesha Maghala ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Cropstan Investiment Ltd, Simon Nkana kulalamikia kushuka kwa…

Read More

Waeleza changamoto usafirishaji wa mifugo Zanzibar

Unguja. Wasafirishaji wa mifugo ya ng’ombe na mbuzi kisiwani hapa wameeleza changamoto zinazowakumba na kushindwa kusafirisha mifugo yao ikiwemo vibali na wataalamu wa kupima afya za mifugo hiyo. Wasafirishaji hao wametoa changamoto hizo leo Februari 7, 2025 katika ziara iliyofanywa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kaskazini Unguja ya kukagua utaratibu wa uingizwaji wa mifugo…

Read More

USAWA WA KIJINSIA TANZANIA: KUTOKA MKUTANO WA BEIJING HADI MATOKEO YA LEO

MWANGA katikati ya giza nene uliangazia ulimwengu Mwaka 1995,wakati ambao Mwanamke alionekana kutoweza kufanya jambo lolote bila Mwanaume, Mkutano wa Beijing-China uliibua mwongozo wa kurasa 129 uliobeba ajenda 12 ambazo zilizolenga kumuwezesha mwanamke. Ajenda hizo zilijikita hasa katika kukabiliana na umaskini, kupata elimu na mafunzo, afya Bora, kukabiliana na mizozo ya kivita, uchumi, Mfumo wa…

Read More