AZIZ anajikuta anaingia katika mkasa mwingine wa kupambana na magaidi waliomteka nyara binti wa bilionea mmoja wa Uingereza na kushinikiza walipwe mabilioni. Walitoa siku saba tu za kulipwa pesa hizo vinginevyo watamuua binti huyo…