RC CHALAMILA ATANGAZA UUZAJI VIWANJA MABWEPANDE-KINONDONI

 -Asema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Kufuatia maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kutaka waliovamia na kujenga kwenye eneo linalomilikiwa na shirika la maendeleo Dar es Salaam (DDC) lililopo Mabwepande kuuziwa viwanja…

Read More

Vifo vya raia vifo katika wiki moja huku kukiwa na uhasama unaokua – maswala ya ulimwengu

Takwimu hii inawakilisha a ongezeko mara tatu kutoka wiki iliyopita, Wakati angalau raia 89 walipoteza maisha wakati wa uhasama unaoendelea. Mgogoro huo unachanganywa na kuongeza vurugu huko Kusini Kordofan na Blue Nile States, ambapo janga la kibinadamu liko, kulingana na Mratibu wa kibinadamu wa UN kwa Sudan. Clementine Nkweta-Salami. Kuongezeka kwa vurugu Wiki hii, mzozo…

Read More

Watoto waliotekwa Mwanza wapatikana | Mwananchi

Mwanza. Wamepatikana. Ndilo neno lenye uzito wa kuelezea taarifa ya Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusu kupatikana watoto wawili waliotekwa wakiwa kwenye basi la shule jijini hapa. Magreth Juma (8) anayesoma darasa la tatu na Fortunata Mwakalebela (5) wa darasa la pili katika Shule ya Blessing Modern iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela walitekwa Februari 5, 2025, saa…

Read More

Dk Mwinyi ateua mrithi wa Mwenda ZRA

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). Kabla ya uteuzi huo, Athumani alikuwa Mkufunzi Mkuu Chuo cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, Charles Hilary, ikiwa imesainiwa na…

Read More

Wasira awananga wasemao CCM haijaleta maendeleo

Mara. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira amewakosoa wanaosema chama hicho hakijafanya lolote tangu kiingie madarakani, akisema hata elimu waliyonayo imetokana na chama hicho. Akizungumza na wanachama wa chama hicho leo Jumamosi Februari 8, 2025 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Wilaya Tarime mkoani Mara, Wassira amesema kwa miaka 60 iliyopita Watanzania wamekuwa na…

Read More