Usawa wa kijinsia katika Sayansi hupunguza maendeleo katika kutatua changamoto ngumu za ulimwengu – maswala ya ulimwengu

Yasmine Sherif, Mkurugenzi Mtendaji wa Elimu Hauwezi Kusubiri (ECW), anaingiliana na watoto wa wakimbizi wa Sudan huko Misri. Sherif alitoa wito kwa jamii ya kimataifa kuwawezesha wasichana katika machafuko kupata elimu, mafunzo, na rasilimali wanazohitaji kuboresha msingi wao na ujuzi katika sayansi, teknolojia, uhandisi, na hesabu (STEM). Mikopo: ECW na Joyce Chimbi (Nairobi) Jumanne, Februari…

Read More

Operesheni ya Kijeshi ya Israeli inaondoa 40,000 katika Benki ya Magharibi – Maswala ya Ulimwenguni

Kambi kadhaa za wakimbizi ziko karibu tupu baada ya vikosi vya Israeli kuzindua Operesheni Iron Wall mnamo Januari 21, na kuifanya kuwa operesheni ndefu zaidi katika Benki ya Magharibi tangu Intifada ya pili, kulingana na shirika hilo. Operesheni ilianza katika Kambi ya Jenin na kisha ikapanuka hadi Tulkarm, Nur Shams, na El Far'a Camps, kuhamisha…

Read More

Chikola aibeba Tabora United ikiichapa Kagera

BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho dhidi ya Kagera Sugar. Kagera Sugar waliokuwa wenyeji wa mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Februari 11, 2025 kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera, wamepoteza kwa mara ya pili mfululizo mbele ya Tabora United…

Read More

Naibu Waziri Asema Serikali Ya Tanzania Inaendelea Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji

Februari 10, 2025 Dar es Salaam Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb.), amebainisha kuwa Serikali ya Tanzania, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaendelea kufanya mabadiliko makubwa katika kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Mhe. Nyongo aliyasema…

Read More

Wabunge walia fedha zilizotengwa uharibifu wa El-nino, ofisi zao

Dodoma. Kuchelewa kwa fedha za ujenzi wa miundombinu iliyoathiriwa na mvua za El-nino na mafuriko kumesababisha wabunge waikalie kooni Serikali, wakitaka kujua mustakabali wa barabara hizo zilizoharibika. Sambamba na hilo, wabunge hao wameibana Serikali kuhusu utaratibu wa usaili kwa ajira za walimu, wakisema si sawa kuwapima walimu wa sasa na wale waliohitimu miaka 10 iliyopita….

Read More

Wakulima Pwani kuchimbiwa visima, DC atoa angalizo

Kibaha. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini mkataba wa mradi wa uchimbaji visima vitano vya umwagiliaji katika Mkoa wa Pwani utakaowanufanisha wananchi wa ndani na nje ya mkoa huo. Mradi huo ukikamilika utawanufaisha wananchi wa kijiji cha Gwata (Kibaha), Mwetemo (Chalinze), Mkupuka (Kibiti) na Mbwara (Rufiji) ambapo zaidi ya Sh311 milioni zinatarajiwa kutumika. Makubaliano…

Read More

Wasira: Uchaguzi Mkuu upo pale pale, awapa ujumbe Chadema

Mwanza. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika kama ulivyopangwa na wala hakuna chombo chochote cha Serikali kinachoweza kuukwamisha. Wasema amesema wanaosema pasipo mabadiliko haufanyika wanaota ndoto ya mchana huku akiwaomba Watanzania kuendelea kujiandaa na uchaguzi huo ambao amedai CCM itaibuka na ushindi wa kishindo….

Read More

TUME YATOA NENO KWA WAENDESHA VIFAA VYA BVR TANGA, PWANI

Na Mwandishi wetu, Tanga Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki kutoa huduma bora kwa wananchi watakaojitokeza katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotaraji kuanza Februari 13 hadi 19, 2025 katika mikoa ya Tanga na Pwani. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru…

Read More