Lissu Aongoza Mazishi ya Kada wa Chadema Magugu, Manyara – Video – Global Publishers



Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu akitoa heshima za mwisho kwenye ibada ya mazishi ya Kamanda Derick Magoma, Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Mkoa wa Manyara, nyumbani kwa familia ya marehemu, kijiji cha Matufa, Magugu, Mkoani Manyara.

MWILI wa Kamanda Derick Magoma, Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Mkoa wa Manyara umezikwa leo, Februari 11, 2025 kijiji cha Matufa, Magugu, Mkoani Manyara.