MAWAKALA WA MILKI NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI

  Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Mawakala wa Milki nchini wametakiwa kujisajili katika mfumo wa Wizara ya Ardhi ili kuingia kwenye mfumo rasmi utakaowezesha kutambulika. Hayo yameelezwa leo tarehe 12 Februari 2025 na Mratibu wa Mjadala kuhusu Utambuzi na Usajili wa Wadau wa Sekta ya Milki Bi. Nuru Kimbe, mjadala uliofanyika mkoani Arusha. Amesema, ni…

Read More

NCHIMBI AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI NNE

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, leo Jumatano tarehe 12 Februari 2025. Katibu Mkuu wa Chama…

Read More

Heche ashusha zigo kwa Watanzania kuamua hatima ya matatizo yanayowakabili

Tarime. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Bara, John Heche amesema hatima ya kuondoa matatizo yanayowakabili Watanzania iko mikononi mwao wenyewe. Hivyo, anasema wanapaswa kuamua kwa pamoja kuunga mkono jitihada za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bila kujali itikadi zao za kisiasa. Heche amesema umefika wakati sasa kwa Watanzania kujua…

Read More