Moto Ulivyoteketeza Bar Buza, Steve Mweusi Akimbia Kushuhudia – Global Publishers



Msanii wa Sanaa ya Uchekeshaji nchini, Steven Mweusi ameeleza namna ya hali aliyoikuta katika Bar ya Peda iliyoteketea kwa moto siku ya Februari 11, 2025 majira ya asubuhi.