Watoto 13 waliuawa katika Benki ya Magharibi tangu mwaka kuanza: UNICEF – Maswala ya Ulimwenguni

Katika taarifa iliyotolewa na Edouard Beigbeder, Mkurugenzi wa mkoa wa UNICEF wa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Shirika hilo lilitaka “kukomesha mara moja kwa shughuli za silaha katika Benki ya Magharibi iliyochukuliwa”. Kijana wa Palestina wa miaka 10 alikufa kutokana na majeraha ya bunduki Ijumaa iliyopita na siku mbili baadaye, mwanamke ambaye alikuwa na…

Read More

Mashirikiano ya kuimarisha Sekta ya Vijana

Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Zanzibar Shaib Ibrahim Muhammed amewataka Watendaji na Wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Zanzibar na Baraza la Vijana Zanzibar kuwa na mashirikiano katika utendaji wao wa kazi ili kuleta ufanisi wa Taasisi hizo zinazoshughulikia masuala ya Vijana Zanzibar. Kauli hiyo ameitoa huko Ukumbi wa Ofisi ya Umoja wa…

Read More

TANZANIA NA MISRI ZASISITIZA KUKUZA USHIRIKIANO

Serikali za Tanzania na Misri zimekubaliana kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa maslahi ya pande zote mbili kwa kuimarisha sekta ya usafirishaji, nishati, ujenzi wa miundombinu, uchukuzi, biashara na uwekezaji, kilimo, mifugo na uvuvi. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo alipokutana kwa mazungumzo…

Read More

Rais Samia kufanya ziara Ethiopia, kushiriki mkutano AU

Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Ethiopia kuanzia Februari 15 hadi 16 sambamba na ziara hiyo atashiriki mkutano wa Umoja wa Afrika (AU). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Februari 13, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Sharifa Nyanga,…

Read More