AU yampongeza Rais Samia kuibeba ajenda ya nishati safi
Adis Ababa. Umoja wa Afrika (AU) umepongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa ajenda ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Pongezi hizo zimetolewa leo Februari 16, 2025 na baraza la AU baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSSCC),…