
NJIRO; WANANCHI SIO LAZIMA KUFANYA WIRING NYUMBA NZIMA MNAWEZA KUFANYA CHUMBA KIMOJA KWAAJILI YAKUPOKELEA UMEME
NA BELINDA JOSEPH, SONGEA Wakazi wa Kata ya Subira Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, wametakiwa kuunganisha nyaya za umeme angalau chumba kimoja kwenye Nyumba ili kuwawezesha kupata huduma hiyo mapema badala ya kusubiri REA watakapoukabidhi mradi huo kwa TANESCO jambo ambalo litasababisha gharama yakuunganisha umeme kupanda kutoka Ile ya mradi wa REA shilingi elfu 27….