Vurugu ya Dk Kongo imesukuma 35,000 kwenda Burundi, inasema shirika la wakimbizi la UN – maswala ya ulimwengu

UNHCRShirika la Wakimbizi la UN, liliripoti Alhamisi kwamba Raia 35,000 wa Kongo sasa wamefika Burundi tangu mwanzoni mwa Februariwakati wapiganaji wa Rwanda wanaoungwa mkono na M23 wanaendelea kusonga mbele katika Kivu Kusini na Kaskazini. Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN (Ohchr) katika DRC pia alionyesha wasiwasi juu ya kuongezeka kwa sheria kama wakurugenzi wa…

Read More

SBL Yazindua Programu ya SMASHED Mwanza Kukabiliana na Unywaji wa Pombe Chini ya Umri.

Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake ya kukabiliana na unywaji wa pombe kwa vijana chini ya umri inayojulikana kama SMASHED jijini Mwanza, ikionyesha dhamira yake ya kukomesha unywaji wa pombe kwa vijana kupitia elimu. Hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika Shule ya Sekondari Mkolani iliwakutanisha maafisa wa serikali, viongozi wa elimu, na wadau wa sekta…

Read More

Ile ishu ya kubusu miguu, msikie anachokisema Fei Toto

KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ni mmoja ya wachezaji waliobahatika kubusiwa miguu uwanjani tangu akiwa Yanga na hata sasa akiwa na Azam, huku akisema hata yeye anaweza kuwabusu wachezaji wenzake ikitokea kitu cha kumlazimisha kufanya hivyo. Fei Toto aliwahi kubusiwa miguu yake ya Msemaji wa zamani wa Simba na Yanga, Haji Manara…

Read More

DC Msando atangaza msako wanafunzi 356 wasioripoti shuleni

Handeni. Mkuu wa Wilaya ya Handeni (DC) mkoani Tanga, Albert Msando ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na watendaji wa kata kuwatafuta wanafunzi 356 wa kidato cha kwanza wa shule za sekondari ambao hawakuripoti shule mpaka msasa. Msando amesema ameshamuagiza kamanda wa polisi Wilaya ya Handeni akiwa na polisi kata, kuwatafuta wanafunzi hao kwa kuwa,…

Read More

Simba yapewa Mwarabu robo fainali CAFCC

Droo ya robo fainali ya Kombe la Shrikisho Afrika imepangwa ambapo Simba itavaana na Al Masry ya Misri. Simba ambayo ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya Caf baada ya Yanga, Coastal Union na Azam kuondolewa itaanzia ugenini ambapo mchezo wa kwanza utapigwa Aprili 4 huku wa pili ukipigwa Aprili 10 kwenye Uwanja…

Read More

Kuna nini Yanga? Mwingine asepa!

ALIANZA aliyekuwa kocha mkuu, Sead Ramovic, kisha akafuata kocha wa makipa Alaa Meskini, kiasi cha kuanza kuzua maswali, Yanga kunani? Ndio, Ramovic aliyeajiriwa na Yanga, Novemba 15 mwaka jana kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi, alitangaza kuondoka Jangwani Februari 5 mwaka huu na wiki mbili tu, Meskini naye aliomba kuondoka, lakini mapema leo taarifa nyingine imetoka….

Read More

Jinsi watafiti wanaweza kupigana nyuma – maswala ya ulimwengu

Wanasayansi lazima wachukue hatua na kuongea. Hatuwezi kuwa kimya wakati sayansi inapofutwa na taasisi ambazo zinafadhili sayansi zinabomolewa, na watafiti wanaoibuka na wa mapema wanasimamishwa. Mikopo: Bigstock Maoni na Esther Ngumbi (Urbana, Illinois, sisi) Alhamisi, Februari 20, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Urbana, Illinois, Amerika, Feb 20 (IPS) – Wanasayansi kama mimi kote Amerika…

Read More