Rufaa ya haraka ilizinduliwa kama shida ya DR Kongo inaleta uhamishaji mkubwa kwa Burundi – Masuala ya Ulimwenguni

Wakati mapigano yanavyoongezeka katika DRC ya Mashariki, wakimbizi zaidi ya 40,000 wa Kongo – kimsingi wanawake na watoto – wamevuka Burundi tangu Februari, Na zaidi ya waliofika 9,000 waliorekodiwa katika siku moja wiki hii. Wengi hutumia boti za kuhama kupita kwenye Mto wa Rusizi, kuvuka kwa hatari kwenye mpaka ulioshirikiwa na Burundi, DRC na Rwanda….

Read More

WASHIRIKA WA MAENDELEO WAIPONGEZA TANZANIA KWA MIPANGO THABITI

Na Janeth Raphael- MichuziTv -Dodoma Washirika wa Maendeleo wameonesha kuridhishwa na Sera za Maendeleo zinazotekelezwa na Serikali ikiwa ni pamoja na Mipango ya thabiti ya kushirikiana na washirika hao wa maendeleo ili kuweza kutekeleza malengo yaliyokusudiwa katika Sekta ya Uchumi kulingana na mikakati iliyowekwa. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mku wa Wizara ya Fedha Zanzibar…

Read More

Njia hizi zinaweza kukutoa kwenye uraibu wa simu, mitandao

Dar es Salaam. Wakati kasi ya matumizi ya simu za mkononi ikizidi kuongezeka duniani, imeelezwa kuwa matumizi kupita kiasi ya kifaa hicho ni uraibu unaoweza kuleta madhara makubwa kwa mtumiaji. Katika miongo michache iliyopita, simu zimebadilika kutoka kuwa zana za mawasiliano hadi kuwa kifaa cha kidijitali kilichojumuisha kila kitu, na sasa dunia yote inawezekana kufikiwa…

Read More

Tanzania kumaliza utegemezi wa ngano 2035

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (Copra), imesema hadi ifikikapo mwaka 2035 Tanzania inalenga kuzalisha ngano tani milioni moja kwa mwaka hivyo kupunguza utegemezi wa bidhaa hiyo kutoka nje ya nchi. Kwa sasa asilimia 90 ya ngano inayotumika Tanzania inaagizwa kutoka nje ya nchi huku uzalishaji wa ndani ukiwa ni…

Read More

Uuzaji kahawa ghafi kunavyoikosesha mabilioni Afrika

Dar es Salaam. Uuzaji wa Malighafi ya kahawa kumeifanya Afrika kuendelea kutumia fedha nyingi katika kuingiza kahawa iliyosindikwa huku ikinufaika kiduchu na mauzo ya nje. Imeelezwa kuwa Nchi za Afrika kwa pamoja hupata wastani wa dola bilioni 2.5 (Sh6.4 trilioni) kwa mwaka kutokana na mauzo ya kahawa nje ya bara, kati ya Dola za Marekani…

Read More

MAANDALIZI YA LIGI YA MUUNGANO YAANZA

  Serikali imetoa wito kwa Vyama vya Michezo vya Tanzania Bara na Zanzibar kushirikiana na kubadilishana uzoefu ili kuendeleza mshikamano baina ya wananchi wa pande zote mbili na kudumisha Muungano.   Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifungua Kikao cha Maandalizi ya Ligi ya…

Read More