Hamas yawaachia mateka sita wa Israel, Wapalestina 603 nao kuachiwa

Gaza. Kundi la Hamas limewaachilia huru mateka sita kutoka Gaza na kuwakabidhi mateka hao wakiwa hai kwa Serikali ya Israel ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya kusitishwa kwa mapigano kati ya pande hizo. Katika kulipa hilo, lsrael nayo inatarajiwa kuwaachilia takriban wafungwa wa Kipalestina 603 wa Kipalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza mbalimbali wakitumikia vifungo mbalimbali. Makubaliano…

Read More

JOTI ALAMBA MILIONI 5 CHEKA NA SAMIA

NISHAI,Andunje,Da Kiboga ,Mwajuma ndala ndefu na Majina mengi ambayo amejizolea kutokana na Uhusika anazofanya lakini zaidi anatambulika Kama Joti. Ni miongoni mwa Waliong’ara Katika Kilele cha Tuzo za Ucheshi (TCA) Katika Kipengele cha Tuzo ya Mchekeshaji bora wa Mwaka ambazo ndio mara ya Kwanza zinafanyika nchini Tanzania na Afrika Kwa ujumla ambazo Mgeni rasmi ni…

Read More

Chaumma yajitosa uchaguzi mkuu, waja na mkakati wa ‘ubwabwa’ hospitalini

Mbeya. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimesema licha ya manung’uniko lakini kipo tayari kwa uchaguzi mkuu, huku kikitaka kura ya mwananchi iheshimiwe. Pia, amesema chama hicho kimesikitishwa na uchakavu wa miundombinu ya barabara katika mitaa ya Jiji la Mbeya huku akiitupia lawama CCM kwamba hakijawa tayari kuwatumikia wananchi ipasavyo. Akizungumza leo Februari 22, 2025…

Read More

Vodacom Tanzania Foundation Kufadhili Kongamano la Utafiti Elimu Tanzania 2025

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation imethibitisha tena dhamira yake ya kuboresha elimu nchini Tanzania kwa kuungana na Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CoICT) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuunga mkono Kongamano la Utafiti Elimu Tanzania (UET) 2025.  Kongamano hilo, litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Maruhubi Zanzibar kuanzia…

Read More