TUZO ya Mchekeshaji bora wa kike wa Mwaka imekwenda Kwa binti Mrembo Asma Jameeda katika Usiku wa Tuzo za Ucheshi(TCA) ambae anatokea kwenye Jukwaa la cheka tu.
Katika hafla hiyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mgeni rasmi.
Habari za Kitaifa