JOTI ASHINDA TUZO YA MCHEKESHAJI BORA MKONGWE

Tuzo ya Mchekeshaji Mkongwe imekwenda Kwa Lucas Mhuvile a.k.a Joti .

Joti anaondoka na tuzo ya pili Usiku wa tuzo za Ucheshi (TCA) ambapo awali akikabidhiwa tuzo ya Mchekeshaji bora Muigizaji Wakiume wa Mwaka pamoja na Tuzo ya Mchekeshaji Mkongwe

Related Posts