HabariRAIS SAMIA AWASALIMU WASHIRIKI WA MASHINDANO YA QURAN Admin5 months ago01 mins 11 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025. Post navigation Previous: Nyankumbu, Manungu Complex pamoto | MwanaspotiNext: Maumivu, upotezaji, mshikamano na tumaini la siku zijazo bora – maswala ya ulimwengu