
Dkt. Doto Biteko Awapongeza Benki ya Exim Kuzindua Tawi Wilayani Kahama
Benki ya Exim imedhihirisha dhamira yake ya kujenga ujumuishi wa kifedha na kupanua huduma zake kwa kuzindua rasmi tawi jipya katika Wilaya ya Kahama, Mkoani Shinyanga. Tawi hili jipya linalenga kuboresha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wafanyabiashara, watu binafsi, na taasisi katika wilaya hiyo. Mgeni rasmi katika hafla hii alikuwa Mheshimiwa Doto Biteko, Naibu…