Mafanikio ya Kampeni ya Polio huko Gaza wakati mvutano wa Benki ya Magharibi unaendelea – Maswala ya Ulimwenguni

Kampeni hiyo imeongezwa hadi Jumatano ili kuhakikisha chanjo kamili, msemaji wa UN Stéphane Dujarric aliwaambia waandishi wa habari kwenye mkutano wa habari wa kawaida huko New York, akitoa mfano wa waratibu wa kibinadamu wa UN. Kama Jumatatu, siku ya tatu ya kampeni, wengine Watoto 548,000 walikuwa wamewekwa ndani, au asilimia 93 ya idadi ya walengwa….

Read More

Kasongo: Kuna makosa saba kila baada ya dakika 90

OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almasi Kasongo amesema kutegemea kamati ya waamuzi bado ni tatizo tofauti na mataifa mengine yaliyoendelea, wakati akichangia mjadala unaohusu, ‘Makosa ya waamuzi Ligi Kuu Bara, nini kifanyike? Kasongo ameyasema hayo leo Jumatano Februari 26, 2025 kupitia mjadala kwa njia ya mtandao wa Mwananchi X space wenye Mada…

Read More

MASHIRIKA YA UMMA YAONGEZE TIJA YALETE GAWIO SERIKALINI

Na Khadija Kalili Michuzi TV Msewa, Kibaha. Msajili wa Hazina na CAG kushirikiana katika usimamizi wa Mashirika ya Umma wamekutana kwa siku mbili kujadili namna bora ya mashirika ya Umma kuboresha utendaji kazi ilikuongeza ufanisi, kuleta tija kwa Umma na kuondoka na utegemezi wa ruzuku za serikali na mashirika hayo yatoe gawio kwa serikali. Hayo…

Read More

Serikali kujenga shule 103 za elimu ya amali

Dodoma. Serikali inatarajia kujenga shule 103 za sekondari za elimu ya amali nchini ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi watakaomaliza darasa la saba na la sita watakaomaliza kwa pamoja mwaka 2028. Mkurugenzi wa Elimu Msingi katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Abdul Maulid ameyasema hayo leo Jumatano Februari 26,2025 wakati wa mkutano wa pamoja wa…

Read More

KISA KODI YA PANGO WAFANYABIASHARA MSIKITI WA IJUMAA WAIANGUKIA SERIKALI

WAFANYABIASHARA zaidi ya 50 wanadai kutishiwa kuondolewa kwenye majengo ya wakfu wanayofanyia biashara kutokana na deni la kodi ya pango, ambayo wamesema walilipa kwa kamati ya mpito ya Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza. Wakizungumza na waandishi wa habari, leo wafanyabiashara  hao wamesema wanakabiliwa na  changamoto ya kufukuzwa kutokana na kudaiwa kodi ya pango,tayari baadhi wamepewa…

Read More

Msajili wa Hazina na CAG kushirikiana katika usimamizi wa Mashirika ya Umma

Ikiwa ni sehemu ya dhamira na jitihada za kuhakikisha taasisi na mashirika ya umma yanaongeza mchango katika ustawi wa uchumi wa Taifa, Ofisi ya Msajili wa Hazina na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi zimekubaliana kushirikiana katika maeneo nane ya kiusimamizi. Maeneo waliyokubaliana kushirikiana ni utawala bora, ufanikishaji wa utekelezwaji wa mapendekezo ya ukaguzi, kuboresha mifumo…

Read More

Serikali zinafaa juu yake – maswala ya ulimwengu

Chanzo: Umoja wa Mataifa. Maoni na Joseph Chamie (Portland, Amerika) Jumatano, Februari 26, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Portland, Amerika, Februari 26 (IPS) – Ndio, serikali zinafaa juu yake. Na kifafa chao sio juu ya wasiwasi wa kawaida wa serikali kama vile utetezi, uchumi, biashara, mfumko, ukosefu wa ajira, uhalifu, au ugaidi. Serikali zinafaa…

Read More

NAIBU WAZIRI CHUMI AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi (Mb.) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mohamoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway hapa nchini Mhe. Tone Tinnes, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es…

Read More