Rwanda yaichongea DRC UN | Mwananchi

Geneva. Mgogoro unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umechukua sura mpya baada ya Rwanda kuishtakia Serikali ya Rais Felix Tshisekedi kuwa inatekeleza mauaji dhidi ya raia. Katika hotuba yake jana mbele ya Baraza la 58 la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UN) Geneva Uswisi, Waziri wa Waziri wa…

Read More

Chalamila awaita vijana wasio na mitaji ofisini kwake

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vijana wanaotaka kufanya biashara eneo la Kariakoo wafike ofisini kwake ili kukopeshwa bidhaa za kuanzia kama mtaji. Chalamila ameyasema hayo leo Alhamisi Februari  27, 2025 katika sherehe za kilele cha uzinduzi wa ufanyaji biashara saa 24,uliofanyika jijini humo. Shughuli za ufanyaji biashara…

Read More

BoT yaweka kibano mikopo ‘kausha damu’

Mtwara. Baada ya wabunge kucharuka kuhusu mikopo ‘kausha damu’ kwenye mitandao, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekuja na mwarobaini unaozuia mkopeshaji kuingia kwenye namba za simu za mteja. Mbali na hilo, BoT imeelekeza kampuni inayokopesha kwenye mtandao iweke wazi masharti yake na si kuandika ‘masharti na vigezo’ pekee, badala yake kila sharti na kigezo lifahamike…

Read More