
Serikali yakaribisha wawekezaji EAC, SADC hatifungani za miaka 20
Dar es Salaam. Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeita wawekezaji wa Tanzania, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na ile ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuwekeza kwenye hatifungani za miaka 20 huku ikiahidi riba ya asilimia 15.25 kila mwaka. Taarifa iliyotolewa na BoT Februari 13, 2025 katika tovuti yake inaonyesha kuwa, Serikali…