
Serikali yamkataa hakimu kesi za ACT-Wazalendo, mwenyewe kutoa uamuzi leo
Kigoma. Serikali imemkataa hakimu anayesikiliza mashauri mawili ya uchaguzi wa serikali za mitaa yaliyofunguliwa na chama cha ACT-Wazalendo katika Mahakama ya Wilaya ya Kigoma. Kutokana na maombi hayo ya kumtaka ajiondoe kwenye mashauri hayo, hakimu huyo, Katoki Mwakitalu, atatoa uamuzi wake leo, Jumatatu, Februari 17, 2025. Katika maombi hayo, mawakili wa Serikali wamemkataa Hakimu Mwakitalu,…