
Utajuaje Kama Uliyenaye Ni Mtu Sahihi Kwako? – Global Publishers
Last updated Feb 17, 2025 UNAPOANZISHA uhusiano mpya, bila shaka unakuwa na matarajio makubwa ndani ya moyo wako kuhusu yale unayotarajia mwenzi wako atakufanyia au atakuonesha. Hata hivyo, mara nyingi watu wengi husukumwa zaidi na matarajio yao bila kuzingatia kama aliyenaye ni mtu sahihi au la. Unapojenga matarajio makubwa halafu ukakikosa kile ulichokitarajia, maumivu…