
Familia ya Lissu yawahoji wabaya wake, yampa msimamo
Dar es Salaam. Familia ya Tundu Lissu imewataka wabaya wake kumsikiliza kwa umakini hoja anazopigania za uhuru wa kweli Tanzania. Licha ya familia hiyo kusema inamuunga mkono katika harakati zake, imesisitiza itakuwa ya kwanza kumkosoa na kumrudi pale atakaporudi nyuma kwenye kupigania haki kwa kutekwa na ‘machawa.’ Hayo yamesemwa leo Jumapili, Februari 16, 2025, katika…