Aziz KI, Hamisa imeisha hiyo

KIUNGO wa Yanga, Stephanie Azizi Ki na mwanamitindo, Hamisa Mobetto hatimaye wamemaliza utata baada ya mchana wa leo kufunga ndoa na kuanza maisha rasmi ya mke na mume. Wawili hao waliibua utata baada ya kuzagaa kwa matangazo ya kuwepo kwa ndoa hiyo, kiasi kuna baadhi ya mashabiki hawakuamini kama kuna kitu kama hicho kabla ya…

Read More

Simchimba ajichomoa mbio ufungaji | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Geita Gold, Andrew Simchimba amesema licha ya kasi yake katika kufunga mabao akiwa na kikosi hicho msimu huu, ila hana malengo ya kutwaa kiatu cha ufungaji bora, zaidi ya kutaka kuipambania timu hiyo kwanza kurejea Ligi Kuu. Simchimba anashika nafasi ya pili kwa mastaa waliofunga mabao mengi hadi sasa baada ya kutupia kambani…

Read More

Mavunde apiga marufuku leseni za madini bila uongezaji thamani

Dodoma. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepiga marufuku utoaji wa leseni kwa wawekezaji wa madini wasio na teknolojia ya kuongeza thamani ya madini. Mavunde ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Februari 16, 2025, alipotembelea kiwanda cha kuongeza thamani ya madini cha Shengde Precious Metal Co. kinachojengwa katika Kata ya Nala, jijini Dodoma. “Mwekezaji yeyote anayetaka leseni…

Read More

Majaliwa: Rais Samia ni tiba ya maendeleo

Maswa. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni tiba ya maendeleo, hivyo Watanzania wanapaswa kwenda naye kwa kuwa ataifikisha nchi kule kunakotarajiwa. Majaliwa ambaye pia ni Waziri Mkuu amesema Rais Samia ni kiongozi anayeona, kusikiliza na kutatua changamoto za Watanzania kwa ustadi wa hali ya…

Read More

Hofu yatanda wabunge kurejea bungeni

Dodoma. Uhai wa Bunge la Tanzania uko mbioni kutamatika huku wabunge wakiwa matumbo joto wasijue iwapo wananchi watawarejesha katika muhimili huo wa kutunga sheria na kusimamia Serikali au watawekwa kando. Uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na urais utafanyika Oktoba 2025. Tayari homa ya uchaguzi mkuu kwa wabunge imeonekana katika mkutano wa 18 wa Bunge la…

Read More

Matata hakijaeleweka Transit Camp | Mwanaspoti

KOCHA wa Transit Camp, Stephen Matata amesema ana kazi kubwa ya kufanya ndani ya timu hiyo baada ya kushuhudia akipoteza michezo mitatu mfululizo tangu ateuliwe kukiongoza kikosi hicho Januari 13, mwaka huu akichukua nafasi ya Ally Ally. Matata ameiongoza timu hiyo katika michezo mitatu kabla ya ule wa jana ugenini dhidi ya Polisi Tanzania na…

Read More