
Ndinga hili tishio jipya mbio za magari
MAFANIKIO yaliyoletwa na Kampuni ya magari ya Toyota kutokana na ubora wa gari lao aina ya Toyota R5, yamewapa mzuka madereva wa mbio hizo kutaka kuendelea nayo katika mashindano yajayo. Gari hilo lililoendesha na dereva Yassin Nasser na msoma ramani wake Ally Katumba kutoka Uganda lilisababisha kumaliza wakiwa washindi na kutwaa ubingwa wa Taifa kitengo…