
Lina Tour sasa kuanzia Moro
RAUNDI ya kwanza ya michuano ya Lina Tour kwa mwaka huu inatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Gymkhana, mjini Morogoro na si Arusha kama ilivyotangazwa awali. Kabla ya mabadiliko haya, raundi ya kwanza ya Lina Tour ilipangwa kuanza Februari 20 hadi 23, katika viwanja vya Arusha Gymkhana na sasa raundi ya kwanza itaanza Februari 27 hadi…