
Huu ndio umri sahihi kwa mtoto kuanza kuadhibiwa
Dar es Salaam. Katika mchakato wowote wa malezi, adhabu inatajwa kuwa sehemu mojawapo ya mzazi au mlezi kumfunda mtoto vile anavyotaka. Hata hivyo, changamoto inabaki ni wakati gani mtoto anapaswa kuadhibiwa, aina gani ya adhabu apewe na itolewe kwa namna ipi. Ni kutokana na changamoto hii, si taarifa ngeni kusikia watoto wadogo ambao nasaha za…