Malipo ya vyoo stendi kilio kila kona

Dar/Mikoani. Ni kilio kila kona, wananchi wakilalamikia tozo ya huduma ya choo inayokusanywa kwenye stendi kuu za mabasi za mikoa nchini. Ufuatiliaji uliofanywa na Mwananchi umebaini licha ya wananchi kuridhia malipo ya tozo ya kati ya Sh200 hadi Sh300 kwa huduma kwenye vyoo vya stendi, wanalalamikia tozo zingine wanazotozwa ili kuingia ndani ya maeneo hayo….

Read More

Wamachinga Shinyanga walia ukata, washindwa kulipia vitambulisho

Shinyanga. Wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) mkoani Shinyanga wamesema mzunguko mdogo wa biashara umesababisha washindwe kulipia Sh20, 000 kwa ajili ya vitambulisho vya kidijitali vitakavyowafanya watambulike serikalini. Hadi Februari 14, 2025 ni wamachinga 178 pekee kati ya 28,111 waliopo mkoani Shinyanga waliolipia fedha hiyo na kukabidhiwa vitambulisho hivyo vitakavyodumu kwa miaka mitatu. Akizungumza na Mwananchi leo Jumamosi…

Read More

Kanisa La Nabii Suguye Latimiza Miaka 18 – Global Publishers

Kanisa la WRM Ministries lililo chini ya @prophet_nicolaus_suguye leo linatimiza Miaka18 tangu kuanzishwa kwake huku Prophet Nicholas Suguye akijivunia makubwa ambayo yametendwa na MUNGU kupitia WRM kwa waumini wake. Kanisa limefanya mengi ikiwemo kusaidia Wajane,wazee na watoto yatima,pia wamefanya juhudi mbalimbali katika kuboresha Miundombinu ya barabara ambapo walichagiza kufanywa maboresho ya barabara ya kivule na…

Read More

Fahamu matunda tiba, kulingana na hali yako

Dar es Salaam. Katika dunia ya sasa, mabadiliko ya mwili na afya ni jambo la kawaida, lakini katika yote ni vyema ukafahamu namna bora ya kuondokana na mabadiliko hayo, bila kuathiri utendakaji kazi wa viungo vingine vya mwili. Wapo wanaoamini unywaji wa pombe hupunguza msongo wa mawazo, vinywaji vyenye kafeini ni tiba ya uchovu (energy…

Read More

Mastaa watatu Singida BS wasajiliwa hivi, TFF yafunguka

SIKU moja baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania masjala kuu ya Dodoma kuamuru kuitwa kortini wachezaji watatu wa Singida Black Stars, ili kujibu madai dhidi yao katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka, Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imethibitisha kwamba nyota hao wamesajiliwa kama wachezaji…

Read More

Alivyojinasua kifungo cha miaka 30 kwa kukutwa na bangi

Arusha. Abubakar Mbanje, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, ameachiwa huru baada ya Mahakama Kuu kumwachia huru. Uamuzi huu ulitolewa Februari 10, 2025 na Jaji Awamu Mbagwa, ambaye baada ya kupitia ushahidi wa kesi hiyo alibaini upande wa mashitaka ulishindwa kuthibitisha kwamba alikutwa na bangi. Abubakar…

Read More