
Lissu: Nimejiandaa kufungwa katika kudai haki mfumo wa uchaguzi
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema amejiandaa kufungwa katika mapambano ya kudai haki katika mfumo wa uchaguzi ili mchakato uwe wa usawa kwa vyama vyote. Februari 12, 2025 akiwahutubia Watanzania katika ofisi za makao makuu ya Chadema, Mikocheni Lissu alitangaza chama hicho kuanzisha vuguvugu la mabadiliko ya…