
MERIDIANSPORTS WAMETISHA TENA JANGWANI. – MICHUZI BLOG
KAMPUNI bingwa ya kuchapisha makala ya michezo Mtandaoni Meridiansports imefanikiwa kutoa na kurudisha kwenye jamiii kwa mara nyingine ambapo leo wamefika kwenye Shule ya Sekondari Jangwani na kutoa msaada kuendeleza desturi yao ya miaka mingi. Huu umekua utaratibu wa Meridiansports miaka na miaka kuhakikisha wanawapatia kile kidogo wanachopata pamoja na jamii yao. Zoezi hili ni…