
Wasio na wapenzi leo siku yao, wajipende
Dar es Salaam. Endapo jana Februari 14 ulikosa raha kwa sababu wengi walisherehekea siku ya wapendanao kwa kupokea zawadi, ujumbe wa mahaba au kwenda matembezi na wenza wao, wakati wewe hauna mwenza, basi leo ndiyo siku yako. Kama ambavyo jana dunia iliadhimisha siku ya wapendanao leo inaadhimishwa siku watu wasiokuwa na wenza, kwa maana nyingine…