
Mshike mshike wa Championship kuendelea wikiendi hii
KIPUTE cha Ligi ya Championship kinaingia raundi ya 19 wikiendi hii na baada ya jana kupigwa michezo miwili katika viwanja mbalimbali, leo tena mingine mitatu itapigwa kwa ajili ya kuzipambania pointi tatu muhimu kwa kila timu shiriki. Mchezo wa mapema saa 8:00 mchana utakuwa kati ya wenyeji Songea United iliyoichapa African Sports mabao 3-2, mechi…