DC NACHINGWEA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUACHA KUUZA BIDHAA KWA BEI YA RISITI NA ISIYO NA RISITI

 MKUU wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Mhe. Mohamed Moyo amewataka wafanyabiashara kuacha tabia ya kupanga bei mbili moja ya risiti na nyingine ya bila risiti jambo ambalo ni kinyume cha sheria.  Mhe. Moyo amesema hayo leo tarehe 14.02.2025 ofisini kwake alipotembelewa na timu ya maofisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliofika kujitambulisha kabla…

Read More

Aziz KI ampa zawadi Hamisa, athibitisha ndoa kesho

Dakika chache baada ya kiungo wa Yanga, Stephanie Aziz KI kutupia kambani chuma tatu, furaha yake imemfanya kufichua juu ya ndoa yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto. Azizi Ki amefunga mabao matatu yaani hat trick kwenye ushindi wa mabao 6-1 ilioupata Yanga dhidi ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mara baada ya ushindi huo,…

Read More

Wadau washauri Afrika kutumia sera za Trump kama fursa

Arusha. Nchi za Afrika zimeshauriwa kutumia mabadiliko ya sera za kibiashara za Marekani kama fursa ya kipekee ya kukuza uchumi wake. Rai hiyo imetolewa leo Februari 14, 2025 na wataalamu wa masuala ya kibiashara Afrika katika mjadala wa mtandao ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) uliohusisha wadau zaidi ya 300 kutoka Afrika…

Read More

Ajali ya lori ilivyoua wanne, kuharibu pikipiki 11

Dar es Salaam. Watu wanne wamefariki dunia, watatu wakijeruhiwa, huku pikipiki 11 zikiharibiwa baada ya lori kuacha njia na kuwaparamia kwenye kituo eneo la Stop Over, Kimara jijini Dar es Salaam. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Faustine Mafwele akizungumza na Mwananchi leo Februari 14, amesema katika ajali iliyotokea jana Februari…

Read More

Aziz KI ampa zawadi Hamisa, athibisha ndoa kesho

Dakika chache baada ya kiungo wa Yanga, Stephanie Aziz KI kutupia kambani chuma tatu, furaha yake imemfanya kufichua juu ya ndoa yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto. Azizi Ki amefunga mabao matatu yaani hat trick kwenye ushindi wa mabao 6-1 ilioupata Yanga dhidi ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mara baada ya ushindi huo,…

Read More

Papa Francis apelekwa hospitali, ugonjwa unaomsumbua watajwa

Roma. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekimbizwa hospitali leo Ijumaa kutokana na ugonjwa wa mapafu, na atalazimika kusitisha matukio kadhaa yaliyoratibiwa kwa siku tatu zijazo, Vatican imesema. Hii inakuja baada ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki mwenye umri wa miaka 88 kuonekana akipata shida kuzungumza wakati wa mkutano wake wa asubuhi. “Papa Francis…

Read More

Lissu akoleza moto ‘No reform no election’ akielekea Singida

Morogoro. Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kujipanga kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi chini ya kaulimbiu ya “Hakuna mabadiliko, hakuna Uchaguzi. Lissu ametoa wito huo leo Februari 14, 2025 alipokuwa akiwasalimia wanachama wa chama hicho waliofika kumlaki katika eneo la Msamvu, Manispaa ya Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani…

Read More