
Polisi yaangushiwa lawama kifo cha Elvis, baba aangua kilio msibani
Dar es Salaam. Familia ya kijana Elvis Pemba ambaye kifo chake kina utata, imedai kuna ofisa wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe amehusika kutokana na wivu wa mapenzi. Mwili wa Elvis (19) umezikwa leo Februari 14, 2025 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Wakati familia ikitoa madai hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa…