
Polisi Simiyu wamnasa luteni feki wa JWTZ
Simiyu. Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata mtu mmoja anayejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwa na sare za jeshi hilo. Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Mapana (24), mkazi wa Mtaa wa Sima mjini Bariadi, alikutwa na sare zinazofanana na za jeshi hilo, zikiwa na cheo cha luteni. Kwa…