
Moto wateketeza bweni la wasichana sekondari Makanya
Same. Moto ambao chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Makanya iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Moto huo uliozuka leo Februari 14, 2025 saa 12:45 asubuhi, umeunguza magodoro, vitanda na vifaa vya wanafunzi yakiwemo madaftari, masanduku na nguo. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah…