Kamwe, Mazanzala wapelekwa kamati ya maadili TFF

Β Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania iliyoketi Dar es Salaam Jumatano, Februari 12, 2025Β  imetembeza rungu kwa Pamba Jiji FC huku ikimpeleka katika kamati ya maadili ofisa habari wa Yanga, Ally Kamwe. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo, Februari 24, 2025 imeeleza kuwa Pamba…

Read More

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo waibua mjadala tena

Dar es Salaam. Serikali imesema wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wameonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyopo katika programu ya BSEZ na wapo katika hatua mbalimbali za mazungumzo na taasisi mbalimbali husika za Serikali. Wakati huohuo Serikali imesema mpaka sasa haijaingia makubaliano (commitment) yoyote na mwekezaji yeyote kwa sasa,…

Read More

Mbunge ataka waliohudumu muda mrefu kamati wapewa β€˜CPA’ za heshima

Dodoma. Serikali inaandaa utaratibu wa kuwalipia wabunge gharama za kushiriki kwenye mikutano ya kitaalumu, Bunge limeelezwa, huku mbunge mwingine akitaka kuwa na utaratibu wa kuwapa β€˜CPA’ (Certified Public Accountant) za heshima. Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Februari 14, 2025 wakati akijibu swali la msingi la Mbunge wa Kilindi (CCM),…

Read More

Mapya yaibuka kwa mastaa Singida BS, Jaji atoa tamko

Mahakama Kuu ya Tanzania, masjala kuu ya Dodoma imeamuru kuitwa kortini wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), ili kujibu madai dhidi yao katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka. Amri hiyo umetolewa baada ya wachezaji hao, Emmanuel Keyekeh, raia wa Ghana, Josephat Bada (Ivory Coast) na Muhamed Camara (Guinea)…

Read More

Piga Mpunga Ijumaa ya Leo na Meridiabet

WIKIENDI ndio hiyo imefika ya wewe kuondoka na maokoto kibao ndani ya Meridianbet ambapo mechi nyingi zinaenda kupigwa hapo baadae. Ingia kwenye akaunti yako na ujipigie mkwanja leo. Ligi kuu ya Uingereza, EPL leo hii kuna mechi kali kabisa ambapo Brighton atakuwa mwenyeji wa Chelsea ambao mechi ya mwisho wamepigika. The Blues chini ya kocha…

Read More