Ndayiragije akuna mabosi, kulamba dili jipya
MABOSI wa Police FC ya Kenya wanatarajiwa kumsainisha mkataba mpya wa mwaka mmoja kocha mkuu Etienne Ndayiragije baada ya kuridhishwa na utendaji wake wa kazi tangu alipotua katika kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu Kenya (FKF-PL). Kocha huyo raia wa Burundi aliyewahi kuzinoa Mbao FC, Azam FC na KMC zilizopo Ligi Kuu Bara amekuwa kocha wa…