WAZIRI KOMBO AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe. Elias Magosi pembezoni mwa Kikao cha 46 cha Baraza la Mawaziri la Umoja wa Afrika kilichofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia tarehe 13 na 14 Februari,…

Read More

Wanaotumia mishumaa wakae chonjo | Mwananchi

Dar es Salaam.Kama unatumia mshumaa nyumbani, kwenye nyumba za ibada au sherehe ya kuzaliwa kama chanzo cha mwanga, hii inakuhusu. Watafiti wa Chuo Kikuu cha Birmingham nchini Uingereza wamebaini mshumaa unaathiri utendaji wa ubongo. Utafiti huo uliochapishwa Februari 7, 2025 na kuandikwa katika jarida la afya la tovuti ya  gazeti la Daily Mail la nchini…

Read More

Miili mitatu yatolewa ajali ya lori Kimara

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amethibitisha kutokea kwa ajali iliyohusisha lori lililohama njia na kuparamia kituo cha bodaboda kilichopo Kimara Stop Over usiku wa kuamkia leo Februari 14, 2025. Lori hilo lilikuwa likitokea Morogoro kuelekea kuja Dar es Salaam ambapo katika ajali hiyo Chalamila amesema hadi saa 9:00…

Read More

Msaada wa kuongezeka kwa Gaza unaendelea, timu za UN zinatanguliza mahitaji ya haraka – maswala ya ulimwengu

Wakati wa ripoti kwamba kurudi kwa vita kamili mwishoni mwa wiki kunaweza kuzuiliwa na tangazo la Hamas kwamba litafuata kutolewa kwa mateka wa Israeli, Ofisi ya UN kwa Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (Ocha) alisema kuwa timu za misaada zilikuwa “zinachukua kila fursa” kutoa unafuu mwingi iwezekanavyo kwa Wagazani katika hitaji kubwa. Akiongea kutoka Gaza…

Read More

Vita mpya Aziz KI, Feisal yahamia huku

UNAIKUMBUKA ile bato ya viungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam na mwenzake Stephanie Aziz KI wa Yanga, basi msimu huu wamekuja kivingine na mdogo mdogo wanaanza kukiwasha tena wakikimbizana kwa mpango tofauti. Msimu uliopita viungo hao walikimbizana kuwania tuzo ya ufungaji bora katika Ligi Kuu Bara na hata kupiga asisti baina yao hali iliyoleta…

Read More

Suluhisho la kisiasa la kumaliza vita nchini Yemen linaweza kufikiwa, mjumbe wa UN anasema – maswala ya ulimwengu

Hans Grundberg Iliyofafanuliwa Juu ya maendeleo ya hivi karibuni ya kisiasa nchini, ambapo waasi wa Houthi, pia hujulikana kama Ansar Allah, na vikosi vya serikali, vinaungwa mkono na muungano unaoongozwa na Saudia, wamekuwa wakipigania madaraka kwa zaidi ya muongo mmoja. Alizungumza pamoja na mratibu wa misaada ya dharura ya UN Tom Fletcher ambaye alisasisha juu…

Read More