DRC, Rwanda walivyotoana jasho Mahakama ya Afrika Jijini Arusha
Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imemaliza kusikiliza hoja za pande mbili katika kesi iliyofunguliwa na Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo (DRC) dhidi ya Rwanda kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu. Kesi hiyo namba 007/2023 iliyofunguliwa Oktoba 2023, DRC inaishutumu Rwanda kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia wake,…