Sowah avunja rekodi ya JKT Tanzania
BAO la dakika ya 51 la mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah limetosha kuvunja rekodi ya JKT Tanzania ya kutokufungwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo msimu huu, baada ya mwenendo mzuri wa kikosi hicho cha Maafande. Sowah amefunga bao hilo likiwa ni la pili kwake katika Ligi Kuu Bara tangu ajiunge na timu…