Upelelezi kesi ya Dk Manguruwe ‘ngoma nzito’
Dar es Salaam. Serikali bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu kama Dk Manguruwe. Mkondya na mwenzake, Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, Rweyemamu John (59), wanakabiliwa na mashtaka 28, yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha kinyume cha…