Heche alivyopokelewa kijijini kwao, matumaini ya vijana
Tarime. Maelfu ya wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pamoja na wakazi wa Tarime na maeneo jirani wamekusanyika nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche kumpongeza kwa kuchaguliwa kushika wadhifa huo. Heche alichaguliwa Januari 21, mwaka huu akiwashinda wenzake, Matharo Gekul aliyepata kura 49 na Ezekia Wenje aliyepata…