
SMZ yakiri changamoto upatikanaji wa mikopo
Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff amesema Serikali inatambua changamoto ya upatikanaji wa mikopo kwa wakulima wadogowadogo kutokana na kutokuwepo kwa uhakika wa marejesho. Hivyo, ili kuhakikisha wakulima hao wanapata fursa ya mikopo yenye masharti nafuu, Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo kwa…