Simu ya dakika 90 yatoa mwelekeo mpya Trump kumaliza vita ya Urusi, Ukraine
Rais Donald Trump wa Marekani amesema mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine yataanza baada ya kufanya mazungumzo ya simu ya muda mrefu na yenye tija na Rais wa Urusi, Vladimir Putin. Televisheni ya FOX News imeripoti mazungumzo kati ya Trump na Putin yamefanyika jana Jumatano Februari 12,2025, asubuhi kisha kufuatiwa na mazungumzo na Rais wa…