Mwili Wa Mwanjelwa Kuwasili Nchini Jumatatu – Global Publishers
Mwili wa mwanamuziki mkongwe, Bi. Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki dunia Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani, anakoishi na familia yake, unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu, Februari 17, 2025, saa tano asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa binti yake kipenzi, Jane Jackson, mwili wa marehemu utawasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius…