Wakala afunguka kitakacho mng’oa Ngoma Simba
WAKALA wa Fabrice Ngoma, kiungo nyota wa Simba, Faustino Mukandila amesema maslahi mazuri zaidi ambayo kiungo huyo atawekewa mezani ndio yataamua kama ataondoka au kubaki Msimbazi. Mukandila ametoa kauli hiyo baada ya Al Ittihad ya Libya kuonyesha nia ya kuhitaji huduma za nyota huyo wa zamani wa AS Vita Club ya DR Congo na Raja…